Monday, August 4, 2014

Lulu Ni Wife Material: Ali Kiba

Ali Kiba
Star mkubwa wa muziki wa Bongofleva nchini Ali Kiba amesema kuwa Elizabeth Michael 'Lulu" ni wife material( ana sifa za kuwa mke na kulea familia vizuri) kwa kuwa ni mchapakazi na anajibidiisha sana kupitia kazi zake za filamu. Akizungumza na Globalpublishers Kiba aliyetoa nyimbo mbili mya zinazotamba sasa mahojianao yake na GPL yalikuwa........

Mwandishi: Unafikiri Lulu ni ‘wife material’ (mke mwema) ambaye unaweza kumweka ndani akalea watoto na kuijenga familia bora?
Kiba: Yeah! Anafaa kuwa mke, ni binti anayejituma, mchapakazi, mtafutaji. Kwangu mimi mtu wa namna hiyo ndiyo anafaa kuwa mke.

Mwandishi: So, unataka kutuambia kwamba unaweza kumuoa?

Kiba: Sijasema hivyo mimi, nimesema anafaa kuwa mke.
Siku za nyuma kabala ya Lulu kwenda segerea wawili hao waliwahi kudai ni wapenzi ingawa Kiba alikanusha.
                                                            Lulu

Like our Facebook page Swahili World Planet for more updates about Tanzanian movie stars' latest gossips, news, fashions, music plus Hollywood, Bollywood and Nollywood news.

No comments:

Post a Comment