Saturday, October 25, 2014

Diva: Jamani Hebu Mwacheni Sitti Mtemvu Apumue Sasa, Na Wewe Sitti Rudisha Hilo Taji La Watu.

Diva
Tofauti na matarajio yake kuwa angefurahia taji la Miss Tanzania 2014 matarajio hayo yote yamekuwa ndoto baada ya watu kumkataa kata kata Sitti Mtemvu kama Miss Tanzania. Mtangazaji maarufu Diva Loveness Malinzi ameamua kutoa yake ya moyoni kutaka Sitti apumzishwe kuandamwa sasa.
Diva ambaye pia mara kwa mara huandamwa kwenye social media kutokana na kauli zake controversial ameandika

"guys let's Be fair yaani hii naitoa toka moyoni, huyu Miss Tanzania 2014 sio mbaya au mzee au mbibi kama mnavyomuita with all the hate, No hate but facts tu ndio mie ntasimama nazo hapa. she is beautiful tatizo ni Umri tu ndio halingani na huo umri alioutaja. ila vingine Hapana too much tunazidisha sasa. maana duh mmezidi sana kum-bully... 

sio sawa!. Yeye umri wake ndio utata dats It. kabla hujamsema flani mbaya jiangalie wewe mzuri? maana huku instagram kuna bendera fata upepo, huyo atakuwa kati ya miaka 26,27,28 hapo anacheza.... maana kuna watu wana miili midogo na bado umri wao umeenda mie nawajua wengi ati ila hata kama damu yake huyu dada hamjaipenda msitafute sana kumkandia kisa comment tatu za mwanzo zinakandia. kuweni fair. sio mzee wala mbibi na wala sio mkubwa hivyo mnavyosema. yuko sawa na umri wa wasichana wengi watanzania. acheni hizo ila Miss Tanzania nakushauri rudisha that crown vikizidi. simple as that."

No comments:

Post a Comment