Thursday, November 13, 2014

Superstar Ya Wema Sepetu Kuingia Sokoni Muda Si Mrefu.

Wema Sepetu anatarajiwa kuingiza sokoni filamu yake ya Superstar ambayo tangu mwaka juzi ilipotengenezwa haijatoka mpaka leo. Superstar ni moja ya filamu za kitanzania zilizotengenezwa kwa gharama kubwa ambapo hata uzinduzi wake Omotola Jalade wa Nollywood alihudhuria.

Hivi juzi Wema akizungumza alisema soon itaingia sokoni.

No comments:

Post a Comment