Monday, August 4, 2014

Filamu Ya Mume Bora Yaingia Sokoni Kwa Kishindo Leo Hii

Filamu ya MUME BORA imeingia sokoni kwa kishindo leo hii jumatatu kwa kuanza kugombaniwa na mashabiki wa filamu za kitanzania. Filamu hiyo ndani yake mastaa kama King Majuto, Salehe Lufedha, Modest Bafite, Ben Branco na Nyakisory wamefanya makamuzi ya kufa mtu. Wahi sasa kununua nakala yako halisi.

No comments:

Post a Comment