Wednesday, July 30, 2014

Umati Wampokea Diamond Platnumz Baada Ya Kushinda Tuzo Ya AFRIMMA Awards.

Diamond amerudi leo toka Marekani alipohudhuria tuzo za AFRIMMA awards 2014 ambapo alishinda tuzo ya best male artist East Africa. Mashabiki walijitokeza kwa wingi kumlaki. kupitia Instagram Diamond alipost picha na kuandika "Japokuwa nina show Canada tareh 2 lakini ilinibidi kwanza nilete Mzigo nlioagizwa na Wananchi Nyumbani kisha ndio nirudi kuendelea na shughuri zangu!... Kama wasemavyo "There is no place like Home... Ever!"

Wema pia alikuwepo
Wema, Diamond na mama Diamond
     

No comments:

Post a Comment