Tuesday, October 21, 2014

Msanii YP Wa Kundi La TMK Wanaume Family Afariki Dunia.

YP
Msanii YP ambaye alitamba na kundi la muziki wa kizazi kipya TMK Wanaume Family amefariki dunia katika hospitali ya Temeke baada ya kusumbyuliwa na maradhi ya kifua.
Kwa mujibu wa Said Fella ni kuwa taratibu za mazishi bado kujulikana mapaka sasa ila mpaka saa saba leo tayari ndugu zake watakuwa wameshapanga ratiba ya mazishi.

Mungu amlaze amhali pema peponi.

No comments:

Post a Comment