Sunday, August 3, 2014

Nisha Na Mboto Wajiweka Juu Na Filamu Mpya Ya Kidume.

Mastaa wa filamu nchini Salma Jabu Nisha na Mboto wameuja na filamu mpya inayoitwa Kidume ambayo tayari ipo sokoni tangu juzi. Nae Nisha ameandika

"Si muda mrefu tangu ZENA NA BETINA itoke,..ila linapokuja swala la jamii yangu huwa nasitisha lolote ili niweze kujitoa,pengine hutojitoa kwa pesa,ila unaweza kufanya kitu ukatengeneza pesa kwa ajili ya kusaidia kitu hiko,wenye imani (wakristo safi/Islam safi) huwa tunaamini ukitoa mkono wa kulia wa kushoto usione,nlijifunza hilo mwanzoni mwa mwaka huu moja ya comment ya shabiki yng humu humu instagram,.kwa kuwa huwa napenda sana kusikiliza ushauri bora basi na huo ni kati ya shauri bora nililolifanyia kazi,nirudi kwenye mada ‪#‎KIDUME‬ "KIDUME" ni filamu ambayo imenifanya niandike yote haya sababu tulijitoa kwa ajili kufanya watu fulani wanaolia wapate afueni,wenye mateso ya muda mrefu km hatutaweza kuwaponyesha sababu uponyaji ni wa M'Mungu tu na msaada wa daktari,basi pesa itakayopatikana ktk filamu hii iweze kusaidia kwa kiasi fulani (mkono wa kushoto usione,na pia saa nyngn unafunza wengine sababu we ni kioo wajitazame kwa vilivyo bora)....... NARUDI...‪#‎kidumeday1‬ (tar.01.08)"

No comments:

Post a Comment