Sunday, August 3, 2014

Filamu Ya Mume Bora Ya King Majuto, Lufedha Na modest Bafite Kulitikisa Soko Kesho Jumatatu.

Ile filamu ya mume bora iliyokuwa ikisubiriwa kw hamu kubwa na mashabiki wa filamu za kitanzania hatimae inaingia rasmi kesho. Akizungumza na SWP mgurugenzi wa Lufedha Films, Salehe Lufedha amesema kuwa mzigo upo tayari na kesho Jumatatu unaingia rasmi sokoni. Filamu ya mume bora yupo King Majuto, Salehe Lufedha, Modest Bafite na Nyakisory. Hakikisha unanunua nakala yako halisi kufaidi uhondo wa mume bora.

No comments:

Post a Comment