Monday, December 9, 2013

WELLU SENGO AFURAHISHWA NA FILAMU YA VAGABOND KUPENYA TUZO ZA AFRICA MAGIC VIEWERS CHOICE AWARDS 2014.

Wellu
Wellu Sengo ambaye ni star wa filamu Swahiliwood ameonekana kufurahishwa na kushukuru baada ya filamu ya Vagabond ambayo yeye ni mmoja wa waigizaji wakuu kupenya kwenye kipengele cha filamu bora ya kiswahili katika tuzo za Africa Magic Viewers Choice Awards zinazotarajiwa kufanyika mapema mwakani (2014). Filamu hiyo pia yumo Johari, Hemedy, Mzee Chilo. Wellu ambaye ni mmoja wa actresses wenye mvuto nchini akichonga na Swahiliworldplanet alisema "namshukuru Mungu kwa nafasi hiyo and I hope Mungu atawezesha itapita, love to my fans and mume wangu amekuwa supportive sana kwangu"


                                               Wellu akiwa na mume wake
Follow us on twitter Swahili World Planet  and Like our facebook pages Swahili World Planet and Bongomovies SWP for more updates about Swahili movies latest news, gossip, celebrities, features, beauty, fashions, music plus Hollywood, Bollywood and Nollywood news.

No comments:

Post a Comment