Wednesday, October 29, 2014

Sabby Angel, Dude Na King Majuto Wanakuja Kuwashika Na Sio Riziki.

Mastaa wa filamu nchini Sabby Angel, Dude Kulwa Kikumba na King Majuto wanakuja kuwashika mashabiki wa filamu za kitanzania na filamu ya "Sio Riziki". Filamu hiyo ambayo imetengenezwa na Sabby Angel inahusu maisha yake ya kweli kwa jinsi alivyoteseka kwa ajili ya mapenzi.

Filamu hiyo inataoka rasmi mwezi ujao.

No comments:

Post a Comment