Sunday, October 19, 2014

Red Carpet Photos: Screening Ya Filamu Ya Dogo Masai Nchini Marekani.

Mtengeneza filamu maarufu nchini Tanzania, Timoth Conrad yupo nchini Marekani katika kuhudhuria tuzo za Silicon Valley African Film Festival 2014 ambapo filamu yake ya Dogo Masai waliocheza Kemmy, Omary Clayton na Tino imependekezwa kuwania tuzo ya  Best African Feature Film
ikichuana na filamu za S.Africa, Nigeria, Misri, Malawi na Uganda. Swahiliworldplanet kama kawaida yake inaendelea kukupa updates za tukio hilo muhimu la kuiwakilisha nchi kimataifa. Hizi ni baadhi ya picha toka kwenye screening ya filamu hiyo leo hii nchini Marekani Tico aliyevaa shati la kiafrika akiwa na wadau na wasanii wenzake...........


No comments:

Post a Comment