Wednesday, October 29, 2014

Mwenzenu Najuta Kuwa Maarufu: Wema Sepetu

Wema
Kuna watu kibao wanatamani kuwa na umaarufu mkubwa alionao Wema Spetu kuwazidi hata viongozi kibao wa ngazi za juu serikalini lakini
Wema mwenyewe anasema anajutia umaarufu huo kwa asilimia 40 na kuufurahia maisha yake kwa asilimia 60 ka madai kuna mambo mengi huandikwa kwenye media huwa uongo na humuumiza sana. Akizungumza na Mwanaspoti Wema alisema...

"kuna wakati najutia kuwa maaruu kwa asilimia kama 40 hivi lakini nashukuru kwani kwa asilimia 60 nayafurahia maisha yangu, ukiwa nyota kuna changamoto nyingi sana kwani kuna wakati mtu anaweza kukuandika habari ambayo inakufanya ushindwe hata kutoka nje na kubaki ndani tum lakini katika maisha kama haya sina cha kufanya japo kuna mambo ambayo huniumiza na najitahidi sana kuvumilia"

Like our Facebook page Swahili World Planet for more updates about Tanzanian movie stars' latest gossips, news, fashions, music plus Hollywood, Bollywood and Nollywood news.

No comments:

Post a Comment