Tuesday, September 30, 2014

Filamu Ya Samaki Mchangani Yang'arisha Tanzania Na Kuibwaga Kenya Tuzo Za East African Film Network.

Nasir Mohamed ( Coordinator wa Arusha African Film Festival) akipokea EAFN (East African Film Network) Award ya filamu bora fupi( Best Short Film) kwa niaba ya Amil Shivji siku ya tarehe 27 september 2014 mjini Arusha katika kilele cha festival hiyo  New arusha Hotel.

Film zilizoshindanishwa katika kipengele cha Best East African Short Film ni Samaki mchangani(Tanzania), Too Late(Kenya),The Picnic(Kenya) na Ashley(Burundi)

Anaenikabidhi tuzo pichani ni mwakilishi wa Tgo Imani Nkulu ambao ndio walikuwa wadhamini wauu wa Tamasha hilo la filamu.

Arusha Film Festival ni Tamasha la filamu la kimataifa ambalo hushirikisha nchi mbalimbali za kiafika na wahudhuriaji na wataalamu wa filamu toka nchi mbalimbali huku likisisitiza ubora wa filamu za kitanzania na sio bora filamu.


No comments:

Post a Comment