Tuesday, September 9, 2014

Diamond Platnumz Kufanya Show Ya Bure Stuttgart, Germany Tarehe September .

Diamond
Baada ya show yake iliyopangwa kufanyika wiki ilopita na kutpfanikiwa baada ya promota wa shoe hiyo Mnigeria kuingia katika tifu zito na wadhamini wa show hiyo waliotaka kuichujuwa show hiyo kwa uchu wa pesa na mashabiki kufanya vurugu pasipo Diamond kutumbuiza, Diamond na promotoa huyo wa Britts Events wameamua kuwapa burudani bure mashabiki wa Stuttgart Germany.
Kupitia akunt zake za mitandao ya kijamii Diamond mwenye umaarufu mkubwa sasa Africa ameandika.....

'YES!!!! STUTTGART GERMANY!!! on this 20th of September 2014... kiukweli nilisikitishwa sana na kilichotokea last time Stuttgart... lakini baada ya kugundua kuwa pia lilikuwa ni kosa la mtu mwingine na si promotter kama nilivyodhani, yaani Brittis Events... ndipo tulipoamua na kuwaletea Burudani hii Mashabiki zetu pendwa wa Stuttgart....hakikisha ufikapo unapendeza zaidi maana kama ujuavyo safari hii Vyombo vyote vya habari ndani na nje ya nchi vitakuwa pale kwa RedCarpet.... kiingilio ni BUREEEEEE!!!... tafadhariwambie na wenzio wa nchi za karibu...#NORWAY #HOLLAND#SWITZLAND #BELGIUM #SWEEDEN na kadharika!!!!"

No comments:

Post a Comment