Tuesday, September 9, 2014

Lulu Agawa Makavu Live Kwa Waliomshambulia Baada Ya Kuweka Picha Akiwa na Begi La Pesa.

Lulu akiwa na pesa hizo na picha aloweka
Baada ya Jana star mkubwa katika tasnia ya filamu Swahiliwood, Lulu Elizabeth Michael kupost picha akiwa na minoti(pesa) katika begi na watu kuanza kumponda kwa madai ni ushamba ,Lulu nae ameamua kugawa makavu kwa watu hao waliotoa maneno yao pasipo kujua picha aloweka Lulu Instagram ilitoka wapi na kwa Lengo gani. Lulu ameandika....

"Naona hii picha imezua mabalaa....jmn kwa wale ambao waliangalia TMT hii ilikuwa ni Short Film tulipoenda kwenye audition za Arusha...na nilishut na Joti Kama naenda kununua madini na hyo pic ilianza kuwekwa kwenye page ya TMT Kama promo ya kipindi...sasa watu wengine mkiona picha tu hamtaki maelezo...yani Kichwa cha habari kinawatosha...maelezo mnayajua pakuyatoa...!jmn kuuliza sio ujinga ndugu zangu wengine na namba zetu na access za kutufikia mnazo...kwann tunakwazana kwa mambo madogo jmn!?Hapa nilipo Nina shida zangu kibao... Na ushamba huo sina kwanza...! Muwege mnauliza Kabla ya Kutoa Exclusive Zenu...!"


Like our Facebook page Swahili World Planet for more updates about Tanzanian movie stars' latest gossips, news, fashions, music plus Hollywood, Bollywood and Nollywood news.

No comments:

Post a Comment