Friday, August 15, 2014

Steve Nyerere Atangaza Kugombea Ubunge Kupitia CCM Jimbo La Kinondoni 2015

Mwenyekiti wa kundi la Bongo Movie Unity Steve Nyerere ameweka wazi nia yake ya kugombea ubunge katika uchaguzi mkuu 2015 kupitia CCM jimbo la Kinondoni. Akizunguza na Bongo5 Steve ambaye mwaka huu amekuwa akijizatiti zaidi kisiasa alisema "ukiona chereko chereko ujue mambo yameiva, yeah nitagombea ubunge mwakani, nimejipanga na naweza kufanya hivyo, nipo vizuri sana"


xxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxx

Filamu ya MUME BORA ipo sokoni nunua nakala yako halisi sasa

No comments:

Post a Comment