Friday, August 15, 2014

Sabby Angel Na Brandy Norwood Kufanya Wimbo Pamoja.

Sabby
Actress Sabby Angel ambaye pia ni mwanamuziki amesema kuwa moja ya malengo yake ni kufanya wimbo na Brandy Norwood ambaye ni star wa muziki Marekani. Akizungumza na SWP Sabby amesema kuwa anamkubali sana Brandy so lazima siku za usoni afanye nae kazi.

                                                                         Brandy

No comments:

Post a Comment