Thursday, July 31, 2014

Ningependa Kufanya Filamu Na Chris Tucker Na Pia Rose Ndauka: Frank Mohamed Mwikongi

Frank
Star mkubwa wa filamu nchini ambaye hana skendo za hovyo hovyo Frank Mohamed Mwikongi amesema kuwa ana ndoto ya kuja kufanya filamu na star wa Hollywood Chris Tucker kwa kuwa anamkubakli sana, na kwa upande wa hapa nchini anataka kufanya kazi na Rose Ndauka kwasababu anaukubali uwezo wake licha ya kuwa tayari wamefanya pamoja filamu ya Waiting Soul lakini yupo mbioni kucheza nae tena filamu mpya.

 Akizungumza na Swahiliworldplanet Frank anayependwa na kinadada wengi alisema "Namkubali sana Chrisn Tucker ambaye ni rafiki mkubwa wa Jackie Chain ningependa kufanya nae kazi siku moja, hapa nyumbani ningependa kufanya kazi na Rose Ndauka, ingawa nimeshacheza nae filamu ya Waiting Soul ila kuna kazi tutafanya pamoja muda si mrefu"

                                                     Chris Tucker
Like our Facebook page Swahili World Planet for more updates about Tanzanian movie stars' latest gossips, news, fashions, music plus Hollywood, Bollywood and Nollywood news.



No comments:

Post a Comment