Saturday, July 19, 2014

Katika Mume Bora Na King Majuto Hatujawaangusha Mashabiki: Salehe Lufedha

Lufedha na Modest
Muigizaji na producer maarufu Swahiliwood Salehe Lufedha amaesema kuwa filamu yake mpya ya Mume Bora akiwa na King Majuto na Modest Bafite ni moto wa kuotea mbali kwasababu walifanya uchunguzi kujua ni nini mashabiki wanataka ili wasiwaangushe. Filamu hiyo itaingia sokoni tarehe 30 mwezi huu, huku  pia waigizaji wengine Ben Blanco na Nyakisola wakifanya makubwa humo ndani. Hakikisha unabnunua nakala yako halisi.


No comments:

Post a Comment