Saturday, July 19, 2014

Filamu Ya Inside Toka Kwa Odama Yaendelea Kufanya Vizuri Sokoni.

Filamu mpya ya Inside toka kwa Odama inaendelea kufanya vizuri sokoni, filamu hiyo imeingia sokoni juzi tarehe 17 huku mastaa wakiwa Odama, King Majuto, Ben Blanko, Davina Halima Yahaya, Masinde na wengineo. Hakikisha unanunua nakala yako halisi sasa.

No comments:

Post a Comment