Sunday, July 20, 2014

Wasanii Wa Dodoma Wamchukua Modest Bafite Kucheza Filamu Yao Mpya.

Modest Bafite ambaye ni muigizaji wa filamu anayekuja juu kwa kasi anatarajiwa kuonekana kwenye filamu mpya toka kwa wasanii wa mkoani Dodoma baada ya kukubali uwezo wake. Filamu hiyo inatarajiwa kuanza kurekodiwa mwezi nane.

Kwa upande mwingine filamu ya Mume Bora ambayo amecheza Modest, King Majuto, Salehe Lufedha na Nyakisori inatarajiwa kuingia sokoni tarehe 30 mwezi huu. usikose kununua nakala yako halisi.


No comments:

Post a Comment