Monday, December 16, 2013

DR.CHENI KUJA NA TV SERIES MPYA, SABBY ANGEL, MASTAA WENGINE NA CHIPUKIZI KUONYESHA CHECHE ZAO.

Star mkongwe wa filamu Swahiliwood Muhsin Awadhi(Dr.Cheni) anatarajia kuja na Tv series mpya mapema mwaka ujao ambayo itakuwa imewakutanisha mastaa mbalimbali na waigizaji chipukizi pia. Mmoja wa waigizaji hao ukiachilia mbali Dr.Cheni ni Sabby Angel ambaye tayari ameshacheza filamu pamoja na Dr.Cheni itakayoingia sokoni mwanzoni mwa 2014. So kaa mkao wa kula kwa ajili ya series hiyo...

                                                  Dr.Cheni na Sabby Angel
Follow us on twitter Swahili World Planet  and Like our facebook pages Swahili World Planet and Bongomovies SWP for more updates about Swahili movies latest news, gossip, celebrities, features, beauty, fashions, music plus Hollywood, Bollywood and Nollywood news.

No comments:

Post a Comment