Sunday, July 21, 2013

RAY, RAMMY GALIS NA NAJMA WAJA NA FILAMU YA FANS DEATH.

Rammy Galis, Vicent Kigosi(Ray) na Najma ambaye ni mwanamuziki wa Bongofleva na aliyewahi kudaiwa kutoka kimapenzi na Mr.Blue wanakuja na filamu ya Fans Death. Filamu hiyo inayotarajiwa kuingia sokoni muda si mrefu, maudhui yake yanakuuliza ni nani mkali kati ya superstar na na mtoto wa mjini! Ray na Rammy Galis wakijaribu kumdaka Najma ikiwa msichana huyo ni ndugu wa damu na mmoja kati yao. Je ni nani huyo?

No comments:

Post a Comment