Monday, June 10, 2013

MUIGIZAJI WA FILAMU JAJI HAMISI(KASHI) AFARIKI DUNIA.

 Muigizaji wa filamu Jaji Hamisi maarufu kama Kashi amefariki dunia leo hii katika hospitali ya Muhimbili. Marehemu alikumbwa na mauti baada ya kuugua ghafla malaria na kifua. Kashi alikuwa muigizaji mwenye kipaji cha hali ya juu katika filamu, pia aliwika na kundi la Shirikisho msanii Afrika lililokuwa linaonyesha michezo yake ITV.  Rest in peace Kashi


No comments:

Post a Comment