Saturday, November 8, 2014

Chuchu Hans Aumbuka Mbele Ya Ester Kiama Kisa Penzi La Ray.

Chuchu Hans ameumbuka kisa penzi la Ray !... habari zinasema kuwa hivi juzi katika Chuchu Hans alilikimbiza kwa numa gari la aina ya Mark x la muigizaji mwenzake Ester Kiama akidhani ni la Ray hivyo baada ya kuona linaendeshwa na mwanamke akadhani tarari penzi lake limenyakuliwa.

Baaada ya Chuchu kulikimbiza gari hilo maeneo ya Kinondoni alifanikiwa kulizunguka kwa mbele na Ester kusimama hata hivyo Chuchu aliishia kuumbuka baada ya kulichunguza gari hilo na kugundua sio la Ray bali yalifanana tu.

Chuchu alipoulizwa na paparazi wa Gpl alisema aachwe hayupo tayari kulizingumzia suala hilo.

No comments:

Post a Comment