Monday, June 10, 2013

WEMA SEPETU AKIPAKWA MAKE UP KABLA YA KUTOKELEZEA KILI MUSIC AWARDS 2013, AVALISHWA NA EVE COLLECTION(PHOTOS)

Picha chini zinaonyesha muigizaji Wema Sepetu akipakwa make up na kutengenezwa nywele kabla ya kutokelezea kwenye event ya Kilimanjaro Music Awards 2013. Gauni alilovaa Wema ni design ya fashion designer wa Tanzania Eve Collection na designs zake nyingine zilivaliwa na watu wengine katika event hiyo. Anything to say about Wema's look?. photos below......................

                                             akiwa ukumbini tayari

No comments:

Post a Comment