Saturday, June 29, 2013

LIBERTY MSUYA AJICHIMBIA LONDON KUTENGENEZA MOVIE YA"FROM LONDON TO ZANZIBAR"

Muigizaji anayekuja kwa kasi Swahiliwood Liberty Msuya yupo London aki-shoot filamu yake mpya ya "From London To Zanzibar" ikiwa ni ujio wake mwingine huku pia filamu zake mbili za Laura na 2face zikiwa tayari zimekamilika na kufanyiwa mipango ya kuingia sokoni. Liberty pia ameigiza filamu mpya ya Safari akiwa na Irene Uwoya, Single Mtambalike, na Chuchu Hans na filamu ya Selo akiwa na Issa Musa(Cloud) hivyo jipatie nakala yako sasa  ili uone nini amefanya star huyo aliyepata umaarufu baada ya kuigiza filamu ya Houseboy.


No comments:

Post a Comment