Saturday, January 12, 2013

AVRIL AMKANA DIAMOND PLUTNUMZ

Muimbaji Avril from Kenya amekana uvumi kuwa anakula urojo na A-list musician from Tanzania Diamond Plutnumz. muimbaji huyu ametokea kwenye video mpya ya Diamond "kesho", Avril amesema kuwa uvumi huo unasambaa ingawa hauna ukweli wowote kwani wao wameshirikiana kikazi tu, ingawa wengi bado wanatilia shaka habari hizi kuwa kama kweli they are not an item. let us wait and see.......kwani mapenzi ni kikohozi kikali huwezi kukizuia.
Diamond

No comments:

Post a Comment