Mastaa wa filamu nchini Mainda, Johar, Slim Omar na Thadeo Alexander wanatarajiwa kuonekana pamoja katika filamu mpya inayoitwa Denti. Filamu hiyo imetengenezwa na Luck na muongozaji ni Leah Mwendamseke "Lamata", wasanii hao tayari wamemaliza kushuti filamu hiyo wiki iliyopita. Angalia baadhi ya picha wakiwa location............
Mainda na Thadeo Alexander
Thadeo akiwa na Lamata na msanii mwenzao
Johari na Thadeo
Follow us on twitter Swahili World Planet and Like our facebook pages Swahili World Planet and Bongomovies SWP
for more updates about Swahili movies latest news, gossip, celebrities,
features, beauty, fashions, music plus Hollywood, Bollywood and
Nollywood news, life styles news and more
No comments:
Post a Comment