Mayasa
Friday, March 14, 2014
Mwanaume Atakayenioa Atafaidi Sana: Mayasa Mrisho
Star wa filamu nchini Mayasa Mrisho amesema kuwa mwanaume atakayebahatika kumuoa atafaidi sana mapishi yake kwani anajua kupika mahanjumati na hawezi kuachika kwa sababu ya kutokujua kupika. Akizungumza na Globalpublishers Mayasa ambaye amecheza filamu nyingi na marehemu Steven Kanumba alisema "Wee… mi noma katika mapishi, siwezi kuachika kwa sababu ya kushindwa
kupika, atakayenioa atafaidi mahanjumati ya ukweli kabisa, chezea mimi
wewe!"
Mayasa
Mayasa
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment