Mastaa wakubwa wa filamu nchini Blandina Chagula(Johari) na Irene Uwoya juzi kati walikuwa jijini Arusha na kupokelewa kwa heshima zote kwa ujumbe uliojaa ukarimu kutoka uongozi wa hotel ya Mount Meru. Chanzo kimoja kilicho karibu na wawili hao kiliiambia
Swahiliworldplanet kuwa Uwoya na Johari walikuwa Arusha kwa shughuli zao binafsi na walifurahi sana kupokelewa kwa ukarimu mkubwa kutoka katika uongozi wa hotel hiyo. Ujumbe wenyewe huo hapo chini ..........
Follow us on twitter Swahili World Planet and Like our facebook pages Swahili World Planet and Bongomovies SWP
for more updates about Swahili movies latest news, gossip, celebrities,
features, beauty, fashions, music plus Hollywood, Bollywood and
Nollywood news, life styles news and more
No comments:
Post a Comment