Tuesday, August 13, 2013

EFRANCYAH MANGII AAMUA KUBADILI JINA LA FILAMU YAKE MPYA BAADA YA NYINGINE KUWA NA JINA HILO.

Muigizaji Efrancyah Mangii ambaye alijipatia umaarufu baada ya kushiriki shindano la Maisha Plus season 2 amepanga kubadili jina la filamu yake mpya ambayo bado haijatoka ikiwa na jina la "All Eyes On Me" hasa kutokana kuna filamu nyingine iliyoingia sokoni hivi karibuni ikiwa na jina hilo na waigizaji wakiwa ni Aunt Ezekiel, Dotnata na wengineo. actress huyo ameamua hivyo ili mashabiki wake wasijekuchanganyikiwa katika majina ya filamu hizo mbili tofauti licha ya kwamba yake alianza kuitengeneza muda kidogo pengine kuliko hiyo nyingine sema yeye alichelewa kuimalizia na kuiingiza sokoni. "Nafikiria kubadilisha jina movie yangu me ndo nilichelewa kuiuza but nilishoot long nahisi hata kina Aunt walikuwa hawana hili wazo but no way ntabadili jina" alisema Efranciah.

Actress huyo ameigiza filamu nyingi ambazo zipo sokoni huku nyingine zikiwa za Comedy, pia anatarajiwa kutamba sokoni na filamu ya Gender Equality akiwa na Shery Magari na Mrope Zakaaz Eliakim.

                                                             Efrancyah Mangii
Like our facebook pages Swahili World Planet and Bongomovies swp for more updates about Swahili movies latest news, gossip, celebrities, features, fashions, music plus Hollywood, Bollywood and Nollywood news

No comments:

Post a Comment