Tuesday, August 13, 2013

JB, SHAMSA FORD, THEA NA BI.HINDU NDANI YA FILAMU MOJA.

Waigizaji maarufu Swahiliwood Jacob Stephen(JB), Shamsa Ford, Ndumbagwe Misayo(Thea) na Chuma Suleiman(Bi.Hindu) wanakuja pamoja katika filamu mpya ambayo bado haijapewa jina lakini kwasasa tayari wapo location wakishuti filamu hiyo. Ukiachilia mbali hilo filamu nyingine ya Shikamoo Mzee ambayo yupo Jb, Shamsa Ford, King Majuto na Bi.Hindu inatarajiwa kuingia sokoni tarehe 30 mwezi huu wa nane.

                                                        Shamsa Ford
Like our facebook pages Swahili World Planet and Bongomovies swp for more updates about Swahili movies latest news, gossip, celebrities, features, fashions, music plus Hollywood, Bollywood and Nollywood news

No comments:

Post a Comment