Tuesday, April 9, 2013

LATEST FROM DESIGNER SUBIRA WAHURE.

Tanzanian talented fashion designer Subira Wahure kama kawaida yake hawezi kukuangusha kila unapoona kazi zake. Moja ya kazi zake alizozitoa now zinavutia hasa materials za kiafrika ambazo ndizo hutumiwa na mbunifu huyu anayependa kutumia zaidi khanga katika ubunifu wake. Sorry images hazina ubora sana lakini bado unavutika na designs zake. Jionee na kama utapenda kuvaa nguo za mbunifu huyu mahari basi contact her here Subira Wahure


No comments:

Post a Comment