Monday, April 8, 2013

LATEST FROM DESIGNER DOMINICK GODFREY.

Tanzanian designer Dominick Godfrey  ametoa moja ya kazi zake za ubunifu zikiwa ni tai za kiume ambazo kama kawaida yake mbunifu huyo amecheza na rangi zinazowaka na kukaa vizuri kiasi cha kumshawishi kila mtu anunue tai hizo ambazo kwa mara ya kwanza zimevaliwa katika harusi ya rafiki yake wa karibu. kama una sherehe hivi karibuni au tukio lolote na ungependa kudizainiwa na mbunifu huyu anayedizaini mavazi ya aina mbalimbali na ya jinsia zote please get in touch with him through facebook Dominick Godfrey.  Angalia tai hizo za kuvutia kutoka kwa mbunifu huyu...............
                                              From right is designer Dominick Godfrey


No comments:

Post a Comment