Saturday, July 5, 2014

Behind The Scenes: Ray, Batuli, Grace Mapunda Waja Na Movie Mpya.

Baada ya Waves Of Sorrow mastaa wa filamu nchini Vicent Kigosi "Ray" na Yobnesh Yusuph "Batuli" wanakuja na movie mpya ambayo wanaishuti sasa, katika filamu hiyo yupo pia Grace Mapunda na wasanii wengineo. Angalia picha za utengenezaji wa movie hiyo.........

Like our Facebook page Swahili World Planet for more updates about Tanzanian movie stars' latest gossips, news, fashions, music plus Hollywood, Bollywood and Nollywood news.

No comments:

Post a Comment