Monday, July 18, 2016

Selembe Toko Afungua Kampuni Yake Ya Filamu.

Muigizaji wa filamu za Kiswahili anayeishi Denmark Selembe Toko amefungua kampuni yake La Team Toko  huko ambayo inakuwa ikitengeneza filamu. Selembe ambaye ni rais wa Congo kwasasa filamu yake mpya inayotarajia kutoka inaitwa Nimpende Nani. Angalia baadhi ya picha akiwa na wasanii wenzake...


Selembe akiwa na binti yake...
akiwa na wasanii wenzake aliocheza nao filamu yake mpya

No comments:

Post a Comment