Friday, November 7, 2014

Amanda Poshy Asononeshwa Na Ajali Aliyoipata.

Muigizaji maarufu wa filamu nchini ameonekana kusononeshwa na ajali aliyoipata hivi karibuni kwa kutoamini kuwa alitoka salama. Kupitia mtandao mmoja wa kijamii Amanda aliyejaaliwa shape inayowamaliza wanaume wengi ameandika

"Diaz Jumamosi nilipata ajali mbaya sana,Pikipiki ni usafiri rahisi lakini mbaya sana..nili-park gari nikachukua pikipiki iniwahishe sehemu lakini matokeo yake Scania likatusukuma ilikuwa ni ajali mbaya sana inayonitesa sana akilini...pikipiki ilipopaa sikujua kama ikifika chini nitakuwa hai lakini kwa uwezo wa Mungu nipo ingawa niliumia ila Mungu mkubwa sana...Mungu ni mwema.."

No comments:

Post a Comment