Wednesday, October 15, 2014

Sabby Angel Anasa Ujauzito Wa Julio Batalia.

Sabby Angel
Habari mpya ni kuwa muigizaji mrembo ambaye pia ni muimbaji wa muziki wa kizazi kipya Sabby Angel amenasa ujauzito wa Julio Batalia ambaye alikuwa mwakilishi wa Tanzania katika shindano la Big Brother Africa 7 Stargame.


Kwahiyo kwasasa Sabby ambaye alitkiwa kwenda Big Brother Hotshot tayari atakuwa mwanachama wa chama cha kula ndimu na udongo !...Lol

Moja ya filamu mpya za Sabby Angel ni Siri Ya Giningi akiwa na Gambo Zigamba ambapo mashabiki wameonekana kuipokea vizuri sokoni.

No comments:

Post a Comment