Saturday, October 18, 2014

Photos: Shilole Na Nuh Mziwanda Mahaba Nje nje.

Tofauti na baadhi ya mastaa ambao hupenda kujificha wanapokuwa wapenzi lakini ni tofauti kwa Shilole na Nuh Mziwanda kwani wao wapo wazi na kupigana mabusu hadharani sio issue kwao. Hizi ni picha zao mpya...........No comments:

Post a Comment