Thursday, October 30, 2014

Odama Jennifer Kyaka Kuolewa Hivi Karibuni.

Odama
Odama Jennifer Kyaka aliye star m kubwa wa filamu Tanzania amesema kuwa muda si mrefu atafunga ndoa na mzazi mwenzie kwasababu wakpo kwenye uhusiano makini na imara.
Akizungumza na Globalpublishers Odama alisema ...
"ukweli sasa nipo kwenye uhusiano serious na tuko kwenye mipango ya ndoa japokuwa siwezi kutaja mwezi au tarehe ila mashabiki watambue nitaolewa soon.


Like our Facebook page Swahili World Planet for more updates about Tanzanian movie stars' latest gossips, news, fashions, music plus Hollywood, Bollywood and Nollywood news.

No comments:

Post a Comment