Nicole Franklyn Sarakikya ambaye ni mwakilishi kutoka Shinyanga 2014 usiku wa kuamkia leo alifanikiwa kuwabagwa warembo wenzake 26 kati ya 30 wanao wania taji la Miss Tanzania mwaka huu na kufanikiwa kuwa mrembo wa 3 kuingia Nusu Fainali ya Mashindano hayo baada ya kutwaa taji la miss talent. Shindano hili limefanyika New Maisha Club jijini Dar es Salaam.
Tano bora ilikuwa hii
Elizabeth Eliud akikizungusha kiuno chake
Dorice Molel akifanya ya kwake kwenye stage
Huyu alikuja kiivi
Sabina Thomas alitoka kivyake vyake
Weeeeee hii ni shida
Maureen Godfrey akishake kwenye stage
Majaji wakifuatilia shindano hilo kwa makini
Nicole Franklyn Sarakikya akiimba kwa hisia kali
Hapa ni mwendo wa burudani tu
Ni mwendo wa furaha tu
Camilla John aliimba kwa hisia
Hii ni kikwetu kwetu
Happy Sosy alikuja kama Beyonce
Ommy Dimpoz akitoa burudani kwenye stage ya Tanzania Miss Talent iliyofanyika ndani ya New Maisha Club Dar es salaam.
Kazi inaendelea hapa
Majaji wakijadiliana jambo
Ilikuwa ni shidaaaaaa
Ommy Dimpoz (kulia) akiimba pamoja na Christian Bella waimbo wa mama ulioleta amasa kwa mashabiki wake.
Majaji wakiongozwa na Chief jaji Martin Kadinda wakitoa maoni juu ya washiriki walioonesha vipaji vyao
Chief Jaji Martin Kadinda akitangaza washindi
(kwa Picha zaidi tembelea Pamojapure blog)
(kwa Picha zaidi tembelea Pamojapure blog)
No comments:
Post a Comment