Thursday, October 16, 2014

Natamani Sana Kuolewa Na Kupata Watoto: Jokate Mwegelo

Jokate
Jokate Mwegelo amesema kuwa anatamani sana kuoleaa na kuzaa watoto hasa kwa umri wake wa miaka 27 alionao sasa. Akizungumza na gazeti moja Jokate alisema kuwa hata hivyo hawezi kukimbilia kiukla mwanaume sababu abataka mume mchapakazi, anayejiheshimu sana nan kujua majukumu ya kifamilia.

No comments:

Post a Comment