Friday, October 31, 2014

M.qmobile TanzaniaYaendelea Kuwavutia Wafanyabishara Kwa Huduma Nafuu Za Matangazo.

Watu wanaendelea kufurahia huduma za matangazo ya bei rahisi na kuwafikia watu wengi na popote pale kupitia simu za mkononi za kisasa kupitia m.qmobile.co.tz ambayo hufanya kazi na
wafanyabiashara na kampuni za aina zote zile kubwa za kati na ndogo kwa bei nafuu sana. Unapojiunga nao kupitia website yao basi kila mtu huona huduma zako hata wanao-downloda applicatio ya huduma zao.

Jiunge sasa kutangaza biashara yako kwa bei nafuu

No comments:

Post a Comment