Monday, October 13, 2014

Mpigie Kura Laveda Ili Asitoke Ndani Ya Jumba La Big Brother Africa 2014.

 Idris hayuko Kwenye hatari ya kutoka wiki basi tuungane kumpigia Kura LaVeda(Irene Veda) Jinsi ya kupiga kura kwa wale wenye smart phones au simu za kisasa 


1.download application inayoitwa Wechat ukimaliza

 2.Search ID ya bigbrotherafrica unaenda kwenye neno VOTE utakuta majina ya housemates uta-vote jina la LaVeda na unaruhusiwa kurudia hata mara mia.

.Kwa wale wa simu za kawaida andika neno VOTE likifatiwa na jina la LAVEDA unatuma kwenda number 15426 wanakata sh 600 tu..tujivunie vya kwetu .

No comments:

Post a Comment