Thursday, October 30, 2014

Aunty Ezekiel Afunguka Baada Ya Watu Kushuku Kuwa Tayari Ni Mjamzito.

Aunty
Kupitia U Heard ya Clouds fm star wa filamu Tanzania Aunty Ezekiel amekanusha madai yaliyozagaa tangu jana kuwa ni mjamzito baada ya tumbo lake kuonekana kubwa.
Aunty amesema kuwa hana uhusiano na dancer wa Diamond Platnumz aitwaye Moze Iyobo na pia hana ujauzito bali anachojua yeye ni kuwa amenenepa tu.


Like our Facebook page Swahili World Planet for more updates about Tanzanian movie stars' latest gossips, news, fashions, music plus Hollywood, Bollywood and Nollywood news.

No comments:

Post a Comment