Sunday, September 21, 2014

Nisha Atakiwa Kuwa Balozi Wa Jamii Kupitia Sanaa.

Baada ya filamu zake nyingi kufanya vizuri sokoni na kusapoti jamii isiyojiweza mara kwa mara mashabiki wa muigzaji Nisha Salma Jabu wanataka muigizaji huyo awe balozi wa mambo ya kijamii kupitia kazi zake za sanaa .
Hiyo inatokana pia na kuwa Nisha ni mmoja wa waigizaji wanaojituma katika kazi zao huku akijiweka mbali na skendo ziizo na maana.

Nisha amekuwa akitoa hamasa kwa wanawake na pia kusaidia yatima hususani kila mwezi.

No comments:

Post a Comment