Saturday, September 20, 2014

Odama, JB, Lulu, Richie, Monalisa, Kajala Kuosha magari kusaidia wagonjwa Muhimbili.

Wasanii wa filamu nchini JB, Odama, Monalisa, Lulu, Johari, Kajala, Richie watakuwa maeneo ya Kinondoni , Biafra leo hii Jumamos katika charity ya kuosha magari ili kusaidia wagonjwa wa ajali katika hospitali ya taifa Muhimbili.
Hiyo ni katika kuisadia jamii ambayo husapoti kazi zao za filamu.

No comments:

Post a Comment