Monday, September 15, 2014

Azma Ft Kita - Jinsi Ya Kumfikisha Mpenzi Wako(Official Video)

SONG: Jinsi Ya Kumfikisha Mpenzi Wako.
ARTIST: Azma ft Kita
AUDIO BY: Kona
VIDEO BY: Betram Art.
 "Huu wimbo nimeufanya mahususi kwa ajili ya watu wote walio katika mahusiano na walio na umri wa kuwaruhusu kufanya hivyo,naamini moja la tatizo linapelekea mahusiano mengi kuto kudumu ni hili ambalo linaelezwa katika wimbo wangu,Lengo ni kuelimisha hasa ukizingatia mapenzi yametawala almost asolimia 80 ya maisha ya binadamu" Alisema Azma Mponda na kutoa tahadhari kuhusu wimbo huo kwa kusema....
"kuna matoleo mawili, toleo chafu na toleo safi ambalo limepunguzwa baadhi ya maneno ambayo hayapaswi kusikilizwa kwema watu wengi."

Bonyeza link hii kutazama video you tube:

No comments:

Post a Comment