Monday, September 15, 2014

Filamu Ya Samaki Mchangani Kuanza Kuonyeshwa Mlimani City Tarehe 19-25 September

Short film mpya ya kitanzania Samaki Mchangani kuanza kuonyeshwa katika Mlimani City kuanzia tarehe 19 hadi 25 jioni saa 12:45 mwezi huu wa Septemba.
Filamu hiyo ambayo ilipongezwa na wadau mbalimbali walioalikwa kuiona kabala zikiwemo media imetengenezwa na Kijiweni Production chini ya Amil Shivji ambaye ndiye ameiandika na kuingoza filamu hiyo baada ya kutamba na kazi yake iliyotngulia ya Shoeshine.

Huu ni mwanzo mzuri wa filamu bora za kitanzania kuanza kuonyeshwa kwenye majumba ya sinema ili miaka ya baadaye filamu za nje zisiwe na nguvu kabisa katika cinemas za nchini, katika hili ubora wa filamu zetu za kitanzania unatakiwa kuzingatiwa sana ikiwemo kuachana na mtindo mbovu wa part 1 na part 2

No comments:

Post a Comment